KHUYILE ni wimbo wa kitamanduni ulioimbwa na wanafunzi wakatoliki wa chuo cha mafunzo cha polisi wa utawala, ambacho kinafahamika kwa sasa kama NPC EMBAKASI "A" CAMPUS. Wimbo huu unafaa kuimbwa wakati wa maandamano ya kupeleka matoleo na sadaka. Arranger na mwenye ku adapt wimbo huu ni Mwalimu Chris wekesa. karibuni katika kutazama, ku like , ku subscribe na ku share.
0 Comments